Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Gatekalii

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
286
Reaction score
424
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa futi 61*61
Kipo chanika mtaa wa ngwale kilomita moja kutoka barabara ya lami.
Kiko tambalale
Aina ya udongo ni mchanga
Bei tshs 4. 5mil
Kumejengeka nyumba za maana.
Karibuni pm kwa anaehitaji
 
Mbona katika picha hii hapo katikati kuna kichuguu?mkuu
 
IMG_20180106_082930.jpg
IMG_20180106_083453.jpg
 
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa futi 61*61
Kipo chanika mtaa wa ngwale kilomita moja kutoka barabara ya lami.
Kiko tambalale
Aina ya udongo ni mchanga
Bei tshs 4. 5mil
Kumejengeka nyumba za maana.
Karibuni pm kwa anaehitaji
Futi na Mita vyote ni vipimo sahihi kwatika kupima Umbali,
Ila Kibongo bongo tumezoea zaidi Vipimo vya Mita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom