Kiwanja kinauzwa

Mar 25, 2011
20
1
Kiwanja kikubwa kipo Nyegezi, kina nyumba ya chumba na sebule na jengo jingine dogo pembeni. Kina sehemu ya Parking. Bei Mil. 13 mawasiliano 0767007830
 
Hicho sio kiwanja bali ni nyumba, weka picha, vip kiwanja kina hati.

Weka detail za kutosha ili wenye interest wachukue

Pia sio wote wanajua nyege zi iliko, ila nafikili iko mkoa wa Mwanza
 
Hakijapimwa ni squater, kiko mita 600 toka stendi ya nyegezi-MZA. Nyuma ya shule ya Mesa Engl. Medium. Nilisema kiwanja kwa sababu nyumba zile ni kama servants' quarter. Mnunuzi ana nafasi ya kujenga nyumba kubwa nyingine kwa ramani yake mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom