SangaMiliki
Senior Member
- May 13, 2015
- 179
- 133
Ndio?Barabara ya Posta gongo la mboto ni ipi au ni hiyo nyerere road? Na je unaingilia kwa wapi?
Hicho kiwanja sio kule ambako mradi wa Siglers goji umepita na mwenyewe kashakula compensation?
Ungejua nna pesa kushinda kijiji kizima ungenyamaza tu. Nimeuliza maswali wala hujayaona. Wabongo bhana!Acha kuchafua biashara yangu Kipunguni B pale karibu na KM Garden bomoa bomoa itoke wapi?
Kama huna pesa tulia tu.
Ungejua nna pesa kushinda kijiji kizima ungenyamaza tu. Nimeuliza maswali wala hujayaona. Wabongo bhana!
Ukiangalia maswali mawili ya kwanza yanalenga kupata rough idea ya eneo husika latakuwa wapi. Sio kila mteja anakaa Dar useme kua nije tu nione. Siwez choma futa nije hata picha husika ya eneo sijaipata. Labda niwe mgeni wa Dar kwamba sijawahi kaa kabisa ndio ntakuja tu kichwakichwa.Hakuna swali hapo,mwenye pesa anaenda kuangalia eneo lilipo na kuchunguza kama kuna tatizo/mgogoro hasa kwa majirani akiona mambo mazuri ananunua eneo.
Kuandika vitu vya kukisia ni kuchafua biashara.
Watu wengi wameview hii post ila wameelewa wamekuja PM kuomba namba kasoro wewe ndio unachafua biashara kwa kuandika habari ambayo haipo.Ukiangalia maswali mawili ya kwanza yanalenga kupata rough idea ya eneo husika latakuwa wapi. Sio kila mteja anakaa Dar useme kua nije tu nione. Siwez choma futa nije hata picha husika ya eneo sijaipata. Labda niwe mgeni wa Dar kwamba sijawahi kaa kabisa ndio ntakuja tu kichwakichwa.
Na kumbuka hakuna swali la kipuuzi hata siku moja. Asante.
Narudia tena hakuna swali la kijinga.Aya ya kwanza inaeleza eneo liko wapi kwamba mtu anapata picha na anaweza kwenda hadi KM Garden.
Akiwa makini anaiona hata Nyumba ila atashindwa tu kuingia kwasababu geti limefungwa.
Nimesoma post zako za nyuma nimepata jibu,hivyo tuishie hapa.
Watu wengi wameview hii post ila wameelewa wamekuja PM kuomba namba kasoro wewe ndio unachafua biashara kwa kuandika habari ambayo haipo.
Eti muuzaji amekula compensation.
Narudia tena hakuna swali la kijinga.
Pili hilo la compensation lilikua ni kutaka kujua na sio conclusion. Period.
Nakujazia likes za bure tu kwenye post yako maana kila nikiku reply lazima niweke like.
Kwa hiyo waliokuja wamenunua??!! Usidharau mtu usiemjua kwa kutoa conclusion conclusion flani flani hivi.
Swampy area
PoaLingenunuliwa ningeandika.
Wateja wanakuja na pesa pungufu wakati kuna nyumba ambayo imekamilika ni kuhamia tu(kila kitu kipo) pia eneo ni kubwa zinaweza kujengwa nyumba zingine kubwa tatu.
Ungejua nna pesa kushinda kijiji kizima ungenyamaza tu. Nimeuliza maswali wala hujayaona. Wabongo bhana!
Mimi ni mwenye pesa ninaeropoka. Kwani kwenye jamii hakuna watu tofauti na tabia tofauti ?!!Mwenye pesa sio mropokaji! yake ni mantendo tu, mwenye pesa hasemi... mlevi mwenyewe yuko baa anakopa bia na zingine anaomba kwa watu, akishalewa anasena anapesa, mfukoni hana hata jelo! Eti nina pesa kuliko kijiji alafu, hahaa huenda hang over za asubuhi