Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

INSURER

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
36
Reaction score
25
Kiwanja kipo Kitongoji cha Mpera katika kijiji cha Kisemvule huko Mkuranga (30minutes kutokea Mbagala kwa gari).Kipo maeneo mazuri karibu kabisa na barabara ya kitongoji.

Ukubwa wake Kaskazini ni mita 29
Mashariki mita 20
Magharibi mita 18
Kusini mita 32.5

Jirani inajengwa zahanati,pia wakazi wameshajiandikisha kuletewa nguzo za umeme,kuna kisima cha maji ya bure jirani.Any one interested tuma PM kwa maelezo zaidi au piga simu namba 0763953759.
 
hujajibu swali mkuu. umeongea statement yako of truth

Hapana mkuu wangu maana hata Breakeven Point haijafika kamanda.Nimeweka faida ndogo sana ili walau thamani ya pesa niliyonunulia irudi.
 
punguza bei, kesho ninasafari ya huko nipite nikione kama kiko pazuri tufanye biashara
 
Kisemvule sehemu gani? Nahisi ni ukaribu na Shule ya Sekondari Vikindu au?

Mkuu sifahamu ilipo hiyo shule maana si mwenyeji wa huko ila kiwanja kilipo unafika magari yanapogeuzia pale Kisemvule mjini (kama vituo vinne kutoka vikindu) then kuna njia karibu na hospitali ya wakatoliki unashuka nayo kama dk 10 tu kwa bodaboda au gari.Ni karibu na inapojengwa zahanati nyingine ya Kikatoliki.
 
Kama ni eneo hilo ni very potential as Chuo cha Saut kitajengwa maeneo ya jirani na hilo eneo lako...Nisingekuwa na mambo mengine ya kufanya hata leo ningekutafuta.Wadau changamkieni biashara hiyo
 
Kama ni eneo hilo ni very potential as Chuo cha Saut kitajengwa maeneo ya jirani na hilo eneo lako...Nisingekuwa na mambo mengine ya kufanya hata leo ningekutafuta.Wadau changamkieni biashara hiyo

Shukrani mkuu,dharura ndio inafanya niuze lakini nilikuwa na malengo makubwa na hilo eneo longtime.
 
Back
Top Bottom