MWANABUNDA
Member
- Feb 2, 2015
- 25
- 10
Kiwanja kinapatikana segerea kwa bubi 200meter kutoka barabara ya lami. Bei maelewano dalali haitajiki. 0755785754
Huu ni ujinga, huwezi kusema bei maelewano bila kuweka bei ya kuanzia. Sasa mtakuwa mnaelewana nini?
Tangazo lenyewe lipo kihuni tu, hamna ukubwa wa kiwanja wala picha.
kila siku tunazungumzia kitu hiki hiki na watu wanarudia wanakuwa wana behave kama mbuziMkuu we ni dalali nn? Sioni sababu ya kumshambulia kiasi chote hicho wakati ni suala lakumfahamisha tu kistaarabu
Kiwanja kinapatikana segerea kwa bubi 200meter kutoka barabara ya lami. Bei maelewano dalali haitajiki. 0755785754
ndio wapi hapa mkuu?Kiwanja kinapatikana segerea kwa bubi 200meter kutoka barabara ya lami. Bei maelewano dalali haitajiki. 0755785754