Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
Kiwanja chenye ukubwa wa sft4600 kinauzwa Tabata segerea. kiwanja kina hati na kipo karibu na barabara .Asking price millioni 130.
Contact me: 0752953860
Contact me: 0752953860
million 13 ama 130 mweh??????
km ngapi kutoka barabarani?ni bare land?why tzs 130million,kama kimeface barabara sawa.
karibu na barabara au kipo barabarani?maana hiyo bei?kama kipo barabarani nakutafuta.