Kiwanja kinauzwa Pugu kichangani

Kiwanja kinauzwa Pugu kichangani

Mulimila dole

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Posts
226
Reaction score
267
IMG_20170111_163250[1].jpg
Kiwanja kipo maeneo ya Pugu kichangani kimezungukwa na makazi ya watu. Nguzo ya umeme ipo jirani kabisa. Gari inafika hadi kiwanjani. ukubwa wake urefu futi 65 (Meta 19.7) kwa upana futi 45 ( Meta 13.6). Mawasiliano 0656136607. Madalali wanazingua njoo mwenyewe bei million 6 Maelewano yapo ya kutosha ushindwe mwenyewe..Hakijapimwa
 

Attachments

  • IMG_20170111_163208[1].jpg
    IMG_20170111_163208[1].jpg
    355.9 KB · Views: 31

Similar Discussions

Back
Top Bottom