Kiwanja kinauzwa Mwasonga, Kigamboni

westandtogether

Senior Member
Joined
Jul 8, 2020
Posts
175
Reaction score
257
Ninauza kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 540 SQM kilichopo MWASONGA, KIGAMBONI kipo barabara kuu ukitokea Mwasonga stendi.
📍Mahali pazuri kwa makazi au uwekezaji- miundombinu ipo karibu.
Bei 6,500,000/= ( milioni saba tu) - maelewano yapo kwa mwenye nia ya dhati.
Kwa mawasiliano zaidi au kutembelea eneo: 0621 363330 📞
 
Karibu
 
Picha Iko wapi? Je kina hati?
 
Wakuu hiki kiwanja mwenye hela amunue mana bei ya kule imeanza kuongezeka kwa zaidi ya 30%
 
Hati miliki ya wizarani?
 
Hap
Mkuu naona umekuja kwa ID, nyingine
Hapan mkuu mm sio huy jamaa na sijui kama anauza tena. Mana prospectus ya kule imeanza kubadilika kipind hiki cha karibun
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…