Kiwanja kinauzwa msongola dar es salaam kipo pazuri


N

njechere

Member
Joined
Nov 7, 2013
Messages
14
Likes
0
Points
0
N

njechere

Member
Joined Nov 7, 2013
14 0 0
kiwanja kinauzwa msongola dar es salaam.
Kiwanja kipo sehemu nzuri.kutoka bara bara kubwa
kwenda kwenye kiwanja ni nusu kilomita 1 kuna
bara bara nzuri inayopitika kwa gari. Umeme upo
karibuni kufika na kiwanja kipo kwenye mji
unaozidi kujengeka vizur,kiwanja kina ukubwa wa urefu 40 na mapana futi 50 kinauzwa kwa bei ya ml
3: maongezi kidogo yapo mawasiliano: 0656251874
 

Forum statistics

Threads 1,252,285
Members 482,061
Posts 29,802,643