Mdau Makin
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 767
- 207
Kweli uko serious, uje last month? Next month utachelewa ama?
Mdau makini ungeweka picha ya hiyo nyumba ingekuwa pouwa sanaa. Ipo sombetini baada ya lami?
PATA ZAIDI YA NUSU HEKARI @
MOSHONO,ARUSHA.
Kiwanja
kinaukubwa wa:
-3500sqm(35/100M)
-Panafikika kwa Gari.
-Hapana mgogoro -Hati zote zipo.
-View ya Mlima Meru+Kilimanjaro.
BEI:
11 milioni
MAHALI:
-Moshono,Arusha Tanzania.
-300M Kutoka barabara ya mtaa.
KARIBUNI*KARIBUNI:
+255767-287 941
kina ukubwa wa 30mt kwa 13mt kuna umeme na maji mita chache toka cr pub moshono arusha bei 14ml mawasiliano 0754 595256
pata zaidi ya nusu hekari @
moshono,arusha.
Kiwanja
kinaukubwa wa:
-3500sqm(35/100m)
-panafikika kwa gari.
-hapana mgogoro -hati zote zipo.
-view ya mlima meru+kilimanjaro.
Bei:
11 milioni
mahali:
-moshono,arusha tanzania.
-300m kutoka barabara ya mtaa.
Karibuni*karibuni:
+255767-287 941
ujuwe wewe mie utani sipendi......hiyo moshono ipi unayoiongelea? Acha masihara bana..au unauza shamba huko milimani?
ujuwe wewe mie utani sipendi......hiyo moshono ipi unayoiongelea? Acha masihara bana..au unauza shamba huko milimani?
Naweza kupata kiwanja shangarai 20*30? Au zaidi???