Kama unahitaji nyumba, viwanja,
magari, vyumba, frem za
maduka, nyumba za stoo(Godown) n.k.
ndani ya jiji la Arusha wasiliana
nasi kwa 0767287941
Kwa sasa tuna:
1.Nyumba yenye vyumba3, master 1, Public Toilet 2, Jiko+Cabinet, Dinning room,Sitting room,
jiko na stoo vya nje. Tanki la maji 5k/Ltrs,haina paving block.Ina ukuta+Geti.
Kilomita 1 toka Club D..
Iko mtaa wa Moshono,Maji ya Bomba+Kisima
(INAPANGISHWA).
2.Nyumba ya kisasa Moshono. Ina maji
na umeme, vyumba vi3(masta 2),Full
tiled,
Inauzwa(Milioni 90),
Mita 800 kutoka Club D .
3.Kiwanja kiko Sakina,Arusha meat
Ukubwa 40/20,Tittle deed,
Kilometa moja kutoka Lami,
400M Kutoka Shule ya St.Patrick.
4.Kiwanja 30 kwa 20(600sqm). Kipo
Moshono,Arusha(Milioni 25)
-Mita 400 kutoka Main Road (Old Moshi/Nelson Mandela Road).
KARIBUNI WOTE.
0767287941