Wadau,
Nina Kiwanja kinauzwa Moshi mbele kidogo ya KCMC, karibu na Usharika wa Neema.
Kiwanja ni Kikubwa, eneo la 35m x 35m = 1,225-Sqm na hakijapimwa.
Kiko Mtaa Mmoja kutoka Barabara kuu inayotoka Mjini Kupitia Chuo Cha Polisi (CCP), KCMC hadi Uru Seminari.
Kiko umbali wa kama Kilometa 8 kutoka Moshi Mjini
Kwa Wanunuzi Serious ni vizuri ukakiona kwanza ndipo u-make decision.
Bei: Inaanzia Tshs 35,000,000/= na mazungumzo pia yapo.
Contacts; 0655 906 609 and 0767 906 609