Kiwanja kinauzwa Morogoro.

miley

Member
Aug 2, 2013
87
14
Kiwanja kipo Moro Kihonda kwa chambo. Ukubwa 600sqm huduma za umeme na maji zipo. Umbali toka barabara kuu Moro- dom km 2. Bei 7m mazungumzo yapo kwa anayehitaji. Cont. 0715500248, 0756171831.
 
Mmmh kwa chambo bei hiyo mmmh huko si hakujapimwa shuka kidogo then no pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom