Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,761
- 1,634
Kiwanja kinauza maeneo ya Mbweni Mpiji jirani na Hospitali ya Mbweni na Eneo la Masista. Kiwanja kipo barabarani kimepimwa tayari na kina hati safi. Ukubwa wake ni mita 988 za mraba. Kwa watakao taka kukiona please pm. Bei yake ni Millioni 30 tu.