Kiwanja kinauzwa mbezi beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa mbezi beach

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jonayz72, Jul 11, 2011.

 1. J

  Jonayz72 New Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauza kiwanja kipo mbezi beach medium density kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa 0688 308967
   
 2. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  weka bei mukubwa!mbezi beach kubwa!kuwa specific ni sehemu gani watu waingize dau!je kimepimwa?ukubwa ni sqm ngap?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kaka weka picture,piga hata kwenye cm kaka uweke watu wajionee live ili mtu haweze kuona na anegotiate deal.
   
 4. J

  Jonayz72 New Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni medium density kimepimwa na kina ofa, kipo mbezi high school upande wa kulia kuelekea bagamoyo mtaa wa pili 150m.Tsh
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu bei mbona imechangamka hivyo medium 150m.
   
Loading...