Derrick Lameck Lima
Member
- Mar 31, 2016
- 11
- 1
Kiwanja kinauzwa kipo Mbezi beach (makonde) kipo karibu na barabara ya mtaa 250m from main road 45/40 (sqm 1800) bei Mil 170
nafikiri ni wewe ndo hauna io pesa.....170m labda wakati wa kipindi cha mkwere, subiri watakuja wenye mabaki ya hizo hela
nafikiri ni wewe ndo hauna io pesa.....
Hapana mkuu bado kiwanja kipo naomba unipigie simu 0766976110Mkuu umeshauza?
170m labda wakati wa kipindi cha mkwere, subiri watakuja wenye mabaki ya hizo hela
yah hati miliki ipo pia hakuna kesi wala akijawahi kuwa na kesi mkuuMkuu kiwanja kina hati miliki je hakina kesi mahakamani ama ugomvi na mtu
Mkuu acha fujo.
Kitunda Magole(Kiwanja)
Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo. 23 X 22Miguu.
8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.
Bei: 6.0M
Contact: 0715-240140