B brigta Member Joined Dec 12, 2014 Posts 13 Reaction score 2 Nov 21, 2015 #1 Kiwanja kinauzwa mbagala zakhem sh million 3, kina ukubwa wa 82 kwa 45 mita, ukihitaji nitafute kwa namba 0652644236
Kiwanja kinauzwa mbagala zakhem sh million 3, kina ukubwa wa 82 kwa 45 mita, ukihitaji nitafute kwa namba 0652644236
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,119 Reaction score 31,639 Nov 21, 2015 #2 Cha wazi nini?
Sema Sasa JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 651 Reaction score 899 Nov 21, 2015 #3 Approximately eka 1 kwa dar unakiuza m 3?!!!! Clearly ni open space au bonde la maji kifuku.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,467 Nov 21, 2015 #4 Open space nini?
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,193 Nov 21, 2015 #5 brigta said: Kiwanja kinauzwa mbagala zakhem sh million 3, kina ukubwa wa 82 kwa 45 mita, ukihitaji nitafute kwa namba 0652644236 Click to expand... Zakhem eka nzima Tsh 3m? Hata Kiparang'anda haupati eka kwa 3m.
brigta said: Kiwanja kinauzwa mbagala zakhem sh million 3, kina ukubwa wa 82 kwa 45 mita, ukihitaji nitafute kwa namba 0652644236 Click to expand... Zakhem eka nzima Tsh 3m? Hata Kiparang'anda haupati eka kwa 3m.
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,904 Nov 21, 2015 #6 Savimbi Jr said: Zakhem eka nzima Tsh 3m? Hata Kiparang'anda haupati eka kwa 3m. Click to expand... Dah huyu jamaa atakuwa anauza ule uwanja wa mpira pale kama unashuka kiburugwa
Savimbi Jr said: Zakhem eka nzima Tsh 3m? Hata Kiparang'anda haupati eka kwa 3m. Click to expand... Dah huyu jamaa atakuwa anauza ule uwanja wa mpira pale kama unashuka kiburugwa
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,892 Reaction score 10,121 Nov 21, 2015 #7 Mnapozea saaana Huyu Tapeli,stopp