Kiwanja kinauzwa Mapinga Bagamoyo.

Usoka.one

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
771
373
Kiwanja kinauzwa Mapinga Bagamoyo.Kilomita moja na nusu toka Bagamoyo road.Kiko kàribu na kanisa na kanisa Katoliki Udinivu.Ukubwa ni 20 kwa 20.Umeme na maji viko kiwanjani.Mawasiliano 0652409259.
 
Yale yalee...sasa umetueleeza sifa na sehemu kiwanja kilipo. ..ila bei ndo siri mpaka tukupigie....hata hayo mengine si ungefanya siri pia? Ya nini kuweka tangazo la biashara bila kuweka bei?
 
Yale yalee...sasa umetueleeza sifa na sehemu kiwanja kilipo. ..ila bei ndo siri mpaka tukupigie....hata hayo mengine si ungefanya siri pia? Ya nini kuweka tangazo la biashara bila kuweka bei?
Samahani sana mkuu ni sh milioni nne na nusu.sh 4500000
 
Natafuta kiwanja bunju kulikopimwa. Upande wa kulia kama unaelekea bwagamoyo. Yaaa, ni bagamoyo acha kushangaa. Sqmtr isizidi elfu8. Ukubwa ni anzia sqmtr buku hadi buku unusu. Njoo Inbox.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom