Kiwanja kinauzwa maeneo ya Ikulu VETA - Mbeya

Kiwanja kinauzwa maeneo ya Ikulu VETA - Mbeya

kasi

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
26
Reaction score
5
Kiwanja kilichopimwa (heka moja) na kina hati kinanauzwa. Kiwanja kipo 500m kutoka barabara kuu iendayo Dar karibia na eneo lililotengwa kwa ajili ya Ikulu. Kiwanja kimepimwa na kina hati bei million 50, maongezi ya punguzo yanakaribishwa.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0753-292 609 au 0774-039 105. Nyote mnakaribishwa ili mkae karibu na upepo wa Ikulu ndogo ya Mbeya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom