amock Member Joined Dec 11, 2021 Posts 43 Reaction score 29 Jun 8, 2024 #1 SOLD...! KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40M SOLD SOLD OUT.... 🙏
SOLD...! KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40M SOLD SOLD OUT.... 🙏
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,232 Reaction score 79,753 Jun 8, 2024 #2 Tajiri ephen_ Kuna kiwanja huku kinauzwa
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,256 Jun 8, 2024 #3 Vincenzo Jr said: Tajiri ephen_ Kuna kiwanja huku kinauzwa Click to expand... Wakisema wenye shillingi 50 wanaenda Mbinguni sasa hivi, mimi mnaniacha😂
Vincenzo Jr said: Tajiri ephen_ Kuna kiwanja huku kinauzwa Click to expand... Wakisema wenye shillingi 50 wanaenda Mbinguni sasa hivi, mimi mnaniacha😂
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,220 Reaction score 8,905 Jun 8, 2024 #4 Kina aina gani ya hati?
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,232 Reaction score 79,753 Jun 8, 2024 #5 ephen_ said: Wakisema wenye shillingi 50 wanaenda Mbinguni sasa hivi, mimi mnaniacha😂 Click to expand... Polee sana nimelia sana 😭
ephen_ said: Wakisema wenye shillingi 50 wanaenda Mbinguni sasa hivi, mimi mnaniacha😂 Click to expand... Polee sana nimelia sana 😭
Mwiyuzi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 854 Reaction score 447 Jun 9, 2024 #6 Hauwezi kukata na kuuza nusu? Mf ukakata na kutoa viwili 800sqm @each kwa 10 M?
M MELEKAHE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2023 Posts 2,230 Reaction score 8,305 Jun 9, 2024 #7 Ushauri wangu ili upate hiyo hela haraka Vikate viwanja.. 40 x 40 = 1600 sqm. Hicho ni kiwanja kikubwa sana. Hapo unakata viwanja vitano vya Sqm 300 kila kimoja.. inakuwa sqm 1500 jumla. Unabaki na sqm 100 ambayo nayo unaiuza kwa atakaetaka nyongeza. Halafu unauza milioni 5 kwa kila kimoja. Hapo ndani ya mwezi mmoja tu vinakuwa vimeisha umepata milioni 25 yako haraka. Sqm 100 ya faida hela yake ndio unaitumia kutengeneza njia kila mtu afike kwake. Ukigawanya mi nitakuwa mteja wako wa kwanza.. milioni 5 ninayo na sqm 300 zinanitosha
Ushauri wangu ili upate hiyo hela haraka Vikate viwanja.. 40 x 40 = 1600 sqm. Hicho ni kiwanja kikubwa sana. Hapo unakata viwanja vitano vya Sqm 300 kila kimoja.. inakuwa sqm 1500 jumla. Unabaki na sqm 100 ambayo nayo unaiuza kwa atakaetaka nyongeza. Halafu unauza milioni 5 kwa kila kimoja. Hapo ndani ya mwezi mmoja tu vinakuwa vimeisha umepata milioni 25 yako haraka. Sqm 100 ya faida hela yake ndio unaitumia kutengeneza njia kila mtu afike kwake. Ukigawanya mi nitakuwa mteja wako wa kwanza.. milioni 5 ninayo na sqm 300 zinanitosha
amock Member Joined Dec 11, 2021 Posts 43 Reaction score 29 Jun 11, 2024 Thread starter #8 Mwiyuzi said: Hauwezi kukata na kuuza nusu? Mf ukakata na kutoa viwili 800sqm @each kwa 10 M? Click to expand... Nicheki tutayajenga mkuu
Mwiyuzi said: Hauwezi kukata na kuuza nusu? Mf ukakata na kutoa viwili 800sqm @each kwa 10 M? Click to expand... Nicheki tutayajenga mkuu