ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 666
- 421
ni heka moja na nusu. bei ni maelewano ,ni kilomita 3.5 kutoka barabarani. upande wa kushoto kama unaenda bagamoyo,unachukua barabara iliyopita nyuma ya kiromo primary school ,gari inafika mpaka site. upande wa kulia wa barabara kuna hotel ya kiromo,pia kuna ujenzi wa bandari kavu. kwa mwenye hitaji anipm . bei ni 12.5 milion. kama upo serious ni pm