Kiwanja kinauzwa, kipo Mwanagati - Kitunda Dar

Kiwanja kinauzwa, kipo Mwanagati - Kitunda Dar

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Kiwanja kipo MWANAGATI (KITUNDA)
Plot size: square meter 900 ( meter 30*30)
Kipo tambarare (plain surface)

(Ardhi ni ya kichanga)
4.5km kutoka Banana stand
1km kutoka KITUNDA (shule)
Umeme maji vipo jirani (nyumba ya pembeni)
Njia inapitika kipindi chote.
Bei. 12m
Contact: 0756 832833


1520355708323.jpg

1520355782129.jpg
1520355854145.jpg
1520355912614.jpg
 
Kingine kipo chenye ukubwa wa
M (24*25 )
 
Nasema hivi hupati mteja hapa Jf,hiki ni kijiwe cha stori,ngoja waje wenye maswali yao ya kipuuzi wakati umeweka namba ya simu.
 
Nasema hivi hupati mteja hapa Jf,hiki ni kijiwe cha stori,ngoja waje wenye maswali yao ya kipuuzi wakati umeweka namba ya simu.
Daah ni kweli kiongozi, ila subra yavuta kheri.
 
Kipo salasala (majengo)
Maji, umeme na barabara ni uhakika
Kina square meter 775
Km 4. 5 kutoka mbuyuni
Mwenyewe anauza 18m (mazungumzo yapo)
Hakina hati.
 

Attachments

  • 1520589690822.jpg
    1520589690822.jpg
    92.9 KB · Views: 49
  • 1520589700226.jpg
    1520589700226.jpg
    105.2 KB · Views: 47
  • 1520589708169.jpg
    1520589708169.jpg
    94.6 KB · Views: 54
  • 1520589713417.jpg
    1520589713417.jpg
    114.5 KB · Views: 50

Similar Discussions

Back
Top Bottom