ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
We Asha upo swahiba?
Ilikuwaje me ki survey nahamja kipima
shwari la kizushi.
Mmmmh pengine la maana kuzid uzushi
post ya kishwari
Mmmm pengine ya maana kuzidi shwari.
Merry Chrstmass
And happy new year..
Nimekuelewa mkuu
We Asha upo swahiba?
Ilikuwaje me ki survey nahamja kipima
Hahahaha,Burdani tu mkuu ndani ya JF
Ni shidaashwari la kizushi.
Mmmmh pengine la maana kuzid uzushi
Ni ukweli kabisa ndo mana nlimhusisha surveyor kabla sijauza. Uelewa umeanza kuongezeka sasa hivi kwa wananchi watu wanaogopa kununua kiwanja kichwa kichwaYeyeto anayenunua kiwanja kigamboni awe makini, huku kuna utapeli. Vilevile kila mtu ajue kuwa kuna masterplan ya mji mpya wa kigamboni, hakikisha kabla ya kununua plot kigamboni unawashirikisha Kigamboni Development Authority na au Wizara ya ardhi ili wakwambie hilo eneo ni la matumizi gani mfano. Makazi, eneo la wazi, shule etc
Umefanya vyema sana nawe utalipwa wemaNi ukweli kabisa ndo mana nlimhusisha surveyor kabla sijauza. Uelewa umeanza kuongezeka sasa hivi kwa wananchi watu wanaogopa kununua kiwanja kichwa kichwa