Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba shule

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,917
Reaction score
4,169
Wakuu Kiwanja kinauzwa.
Kipo Kibamba Shule kituo kinaitwa Bwawani kama unaelekea Kibwegele.

Ukitembea kwa mguu ni mwendo wa dakika 3 hadi 4 kutoka barabara kubwa.
Ukubwa ni 20 × 20.

Bei ni 5.5M. Haipungui hata mia.
Kiwanja ni cha kwangu mwenyewe, mi sio dalal.

Kama unahitaji, comment hapa nikutafute.
 
Naomba namba tuongee
 
Ulipambana kutafuta kiwanja mkuu iweje leo ukiuze?

any way wekelea picha tukione
 
Tajiri maelezo hayatoshi
Vipi kimepimwa ,hati je?
Unasema ni mwendo wa dakika tatu kutoka barabarani ...ni barabara ipi hiyo
 
Kiwanja kingine kinauzwa Bei milioni nne, kipo pugu ni robo ekeki ,Hiki ni Cha rafiki yangu

Kingine kunduchi Bei milioni 30
Ukubwa 20 Kwa 22 MITA hiki ni Mali yangu mwenyewe hakuna dalali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…