uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,451
Bei ya kuuzia?Kiwanja kina ukubwa robo eka.
Kipo kibaha visiga.
Umbali Mita 300 kutoka morogoro road.
Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani.
Bei milioni 9.
0678908743
Ndio hiyo mkuu,maongezi zaidi baada ya kufika nakuonaBei ya kuuzia?
Sio kweli,wateja wapo wengi tuHumu ndani hakuna mnunuaji mkuu unapoteza muda ...wote humu ni matajiri wa keyboard. ..jaribu Facebook angalau huko utapata hata wa kutaka kukiona...
Hiyo ni Visiga karibu na nini Mkuu?Kiwanja kina ukubwa robo eka.
Kipo kibaha visiga.
Umbali Mita 300 kutoka morogoro road.
Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani.
Bei milioni 9.
0678908743
Robo eka hii mkuuKipo na ukubwa gani mkuu
Visiga ipo karibu na kibaha misugusugu.hii visiga madafuHiyo ni Visiga karibu na nini Mkuu?
Kina ukubwa gani, Kibaha Kwa mfipa unafika?Kiwanja kina ukubwa robo eka.
Kipo kibaha visiga.
Umbali Mita 300 kutoka morogoro road.
Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani.
Bei milioni 9.
0678908743
Ukubwa robo eka mkuu,kwa mfipa unapitaKina ukubwa gani, Kibaha Kwa mfipa unafika?
Ndio kina hati mkuuKuna hati mkuu??
Mita 300 huhitaji kuingia ndani mkuu. Sema ukweliKiwanja kina ukubwa robo eka.
Kipo kibaha visiga.
Umbali Mita 300 kutoka morogoro road.
Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani.
Bei milioni 9.
0678908743
Robo heka ni sawa na sqm ngapi?Robo eka hii mkuu
Mita 300 pafupi sana ,unatembea kidogo ,huo ndio ukweliMita 300 huhitaji kuingia ndani mkuu. Sema ukweli
Squire meter 1250Robo heka ni sawa na sqm ngapi?