2.5mil kwa shati hapaKiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo)
Ukubwa ni mita 20×20(sqm 400)
Bei million 3.2
Hicho pembeni ya hiyo nyumba
Kilomita 2.5 toka stendi
Huduma zote zipo
Umeme na maji ni kuvuta tu
Kimebaki kimoja tu
0744757738
0784376888
View attachment 3313304View attachment 3313306
3M karibu2.5mil kwa shati hapa
Swali lako lipo wapiHaki miliki ipi inatambulisha kiwanja .
Kwani kufanya kazi ni nini?Fanyeni kazi acheni ujinga
Kina haki miliki gani mzee?Swali lako lipo wapi
Hata mimi nimejifunzaKina haki miliki gani mzee?
kabla hujajihusisha na uuzaji wa viwanja moja ya vipengele vya kuzingatia ni pamoja na kufahamu aina za haki miliki za kiwanja.
Kuna hizi haki miliki:
💥hati title deed.
💥Ofa barua ya ofa.
💥Leseni ya makazi.
💥mkataba wa mauziano tk serikali za mitaa
💥 hati za kimila hii ni kurithishwa zaidi.
Haya maswali huulizwa na wateja walio serious, sio kwamba tunatema ushubwada,
Ni vema kujifunza na kuongeza kitu katika kazi zako.
Asante kiongoziH
Hata mimi nimejifunza