Kiwanja kinauzwa, Kibada Kigamboni

Kiwanja kinauzwa, Kibada Kigamboni

mancon

Senior Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
115
Reaction score
62
Kiwanja kinauzwa, kipo kigamboni, kibada, block 17, ukubwa sqm 940, bei 35mil.
 
Oooh jina tu ... Aliye serious asihofu .... Kiwanja hakiuzwi kama madafu mkuu !!!
 
atakaonunua harafu akawa ametapeliwa nitamshangaa sana kuna vitu vingine lazima utumie akili,muuzaji ashakwambia yeye ni Tapeli bado unaingia kingi kwenye 18 zake
 
Oooh jina tu ... Aliye serious asihofu .... Kiwanja hakiuzwi kama madafu mkuu !!!

Japo kinauzwa kwa pesa ya madafu (refer hotuba ya kikwete akiwahutubia wazee wa dar)
 
... Nakupata Bobby, umeunganisha dots kwa haraka sana. Nilimaanisha tu kununua kiwanja ni mpaka mtu ajiridhishe na records zilizopo ardhi na identity ya muuzaji. Jumapili njema ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom