kiwanja kinauzwa kibada bei 3m

kiwanja kinauzwa kibada bei 3m

25m kwa 35m kwa kibada hauwezi pata kwa bei hyo labda hio miguu iwe sawa na feet na si kwa kipimo cha hatua kama meter.
 
haya wadau nikiweka viwanja vya bei juu mnakasirika na leo nimeweka hiki cha bei powa na kipo karibu na barabara wengi wameahidi kuja kukiona karibuni sanaaa
 
25m kwa 35m kwa kibada hauwezi pata kwa bei hyo labda hio miguu iwe sawa na feet na si kwa kipimo cha hatua kama meter.
uko sahihi . lakini hili eneo ni mashamba ya minazi ni hili eneo lipo na linauzwa hiyo bei njoo twende tukaone ukirizika ripa mkuu
 
kilometer mkuu , njoo ulipie ka plot haka , haka kaeneo ni kazuri sana upepo kibao minazi kwa kwenda mbele

kaka tumeishaongea kwa simu naomba uniombee nitakuja jumapili inayokuja mungu akitujalia uhai
asante
mimi mama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom