Kiwanja kinauzwa gezaulole | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa gezaulole

Discussion in 'Matangazo madogo' started by SIMPLE X, Sep 15, 2012.

 1. S

  SIMPLE X Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni voucher ya kiwanja gezaulole, voucher ni ya mil. 8 lakn inauzwa mil. 15
   
 2. Kamanda Moshi

  Kamanda Moshi JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,419
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Sijakuelewa mkuu,hebu nipe ukubwa wa hicho kiwanja na bei yake!maana sielew unaposema Voucher unamaanisha nini.
   
 3. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  wewe unayejiita unayejiita jerryz, umezidi sasa kila post unaweka hiyo website yako, sasa ni kama yaani unapiga kelele!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huu U.S.E.N.G.E kwel yaani wa2 wanafanya biashara we ulichukua vocha ya nini bana?
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hivi viwanja si walisema vimegawiwa kwa watu wenye uwezo wa kujenga?

  Ukifuatilia utakuta huyu mtu wa ardhi kapenyeza jina lake ili awaibie watanzania wenzake!!!
   
Loading...