mob
JF-Expert Member
- Dec 4, 2009
- 2,262
- 1,360
dodoma siyo dar mkuu. Nawashauri mnunue ambavyo vina hati ya kutoka mamlaka zinazotambulikaNashauri mlipime/mligawe kwenye viwanja vya kawaida ambavyo vitakuwa rahisi kwa watu wengi kuvinunua.

Hati ipo mkuudodoma siyo dar mkuu. Nawashauri mnunue ambavyo vina hati ya kutoka mamlaka zinazotambulika
Why Unakiita Kiwanja?? Na sio Shamba??