Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini kwa bei nafuu

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
669
1,194
Kama ulikua unatafuta au unahitaji kiwanja Dodoma mjini Usipitwe na hiii Bei yake nafuu haijawahi kutokea

Sehem :Makuru karibu na Barabara

Bei:Maelewano lakini n nafuu Sana

Ukubwa:Kinaukubwa wa kutosha kujenga nyumba mbili kubwa na kubaki (vipimo tunavyo)

Muda: Wahi sasa kutokana na bei yake ukisubir utakikosa

Contact :0752669640
USISEME HUKUAMBIWA
 
Weka bei uache uoga..! Na utoe uthibitisho kama hakina mgogoro na CDA maana MAKURU ninayoijua ni balaa kwa migogoro na utapeli wa viwanja.
Kama ulikua unatafuta au unahitaji kiwanja Dodoma mjini Usipitwe na hiii Bei yake nafuu haijawahi kutokea

Sehem :Makuru karibu na Barabara

Bei:Maelewano lakini n nafuu Sana

Ukubwa:Kinaukubwa wa kutosha kujenga nyumba mbili kubwa na kubaki (vipimo tunavyo)

Muda: Wahi sasa kutokana na bei yake ukisubir utakikosa

Contact :0752669640
USISEME HUKUAMBIWA
 
Kama ulikua unatafuta au unahitaji kiwanja Dodoma mjini Usipitwe na hiii Bei yake nafuu haijawahi kutokea

Sehem :Makuru karibu na Barabara

Bei:Maelewano lakini n nafuu Sana

Ukubwa:Kinaukubwa wa kutosha kujenga nyumba mbili kubwa na kubaki (vipimo tunavyo)

Muda: Wahi sasa kutokana na bei yake ukisubir utakikosa

Contact :0752669640
USISEME HUKUAMBIWA
Weka bei na ukubwa kiongozi...acha mbwembwe
 
Jamani tuache ubabaishaji na hizi biashara eti kinatosha kujenga nyumba mbili? ina maana gani sasa weka vipimo watu wajue kila nyumba ina ukubwa wake.ww weka vipimo kila mtu atajua pia bei ni kitu cha muhimu sana ndo maana hata bidhaa super market zimewekewa bei.Tuache ubabaishaji tuwe wakweli na wawazi
 
Weka bei acha uoga na uthibitisho kama hakina mgogoro na CDA maana makuru niijuayo mimi ni hatari kwa mogogoro aisei...
 
Makulu duu hatar pale Migogoro na CDA kila siku.... weka maelezo ya kujitosheleza mkuu
 
Mi natafuta, but hadi utuDadavulie ; Ukubwa wake, Bei, Kimepimwa?? Ni low Density or Medium???
 
Weka bei acha uoga na uthibitisho kama hakina mgogoro na CDA maana makuru niijuayo mimi ni hatari kwa mogogoro aisei...
We kama uko serious nicheki kwa sababu bei ni maelewano na ni ndogo tu
 
Acha uzwazwa kutosha nyumba mbili ndio nini? Weka size yake in term of sqm, kimepimwa? Bei? Picha?
 
Napenda nikuhakikishie usalama wa hicho kiwanja na umiliki halali hamna longo longo!! Usibabaishwe na maneno ya watu ya kusikia
Mbona haujibu maswali ya wateja? Unambwela mbwela tu. Tujuze ukubwa, kina hatimiliki, bei
 
If you are seriously selling the plot and the plot has no problem be open:
1. Size
2. Tittle deed no.
3. Price
4. True owner
5. Is it free from conflict with CDA, give proof.
 
Kiwanja kimepimwa ,na hakina mgogoro wowote CDA,
SIZE 30X50SQM.
Price 6M
Utanunua ukiridhika kwan utakiona
If you are seriously selling the plot and the plot has no problem be open:
1. Size
2. Tittle deed no.
3. Price
4. True owner
5. Is it free from conflict with CDA, give proof.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom