Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
Kila la heri, ila kama ni mimi hiyo hela naenda kununua mashamba heka 7 Morogoro au Bagamoyo baada ya miaka 20 naanza kuuza moja baada ya nyingine nabaki na heka moja na hela ya kujenga dream house.