Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza

Mangachini

Senior Member
Mar 24, 2014
129
125
Kiwanja kinauzwa eneo la Block 2, Buswelu, Mwanza. Ni kiwanja kikubwa Low Density, kimepimwa na kiko wazi. Pia kina hati tayari. Bei ni poa kabisa. Tuwasiliane kwa simu 0683 088859
 
Namba yenyewe haipatikani bei hutaki kuweka hapa wala square meter hujaweka.
 
Kiwanja kinauzwa eneo la Block 2, Buswelu, Mwanza. Ni kiwanja kikubwa Low Density, kimepimwa na kiko wazi. Pia kina hati tayari. Bei ni poa kabisa. Tuwasiliane kwa simu 0683 088859

buswelu sehem gani kaka? kina ukubwa gani? niinbox bei
 
Nimekupa hayo maelezo ya kiwanja, tutafutane ili nikakuonyeshe uweze kutoa maamuzi
 
Kiwanja kinauzwa eneo la Block 2, Buswelu, Mwanza. Ni kiwanja kikubwa Low Density, kimepimwa na kiko wazi. Pia kina hati tayari. Bei ni poa kabisa. Tuwasiliane kwa simu 0683 088859
Sasa nikutafute wakat sijui hata bei ya kuanzia...weka mambo waz bwana...!!!! Haya ndo matatzo ya kudalalia vitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom