Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Buswelu-Mwakalundi

Fideline

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
234
124
Umuofia kwenu!

Kiwanja chenye ukubwa wa Ekari 1.5 kinauzwa

Kiwanja kipo kijiji cha Mwakalundi,umbali wa kilometre 4 toka Buswelu Wilayani.Kimetizamana na barabara kuu na kinafaa kwa biashara,makazi au ujenzi wa hosteli.

Chuo Kikuu Bugando kitajenga campus maeneo hayo siku za karibuni.

Bei ni Tshs 22m.

Kwa mawasiliano tafadhali piga/text
0688657866
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom