Kiwanja kinauzwa bunju b | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa bunju b

Discussion in 'Matangazo madogo' started by JATELO1, Aug 29, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  WANA-JF,

  Kiwanja kizuri chenye ukubwa wa 50m x 50m, kata ya Bunju-Manispaa ya Kinondoni. Ni eneo zuri liko flat na liko karibu na Barabara itokayo Bunju B kwenda Mbezi kwa Luis-Morogoro Road. Ni eneo zuri sana kwa biashara na makazi. Na Kiwanja kimepimwa, na viwanja vya jirani tayari vimeendelezwa na vingine vinaendelezwa.

  Bei ni Tshs. 20,000,000/= (Milioni Ishirini). Kwa wale watakaohitaji na wako serious wanaweza kuni-pm au wakawasiliana nami kwa e-mail: lindinachingwea@gmail.com.

  Sababu ya kuuza: Nina family problem ambayo inahitaji ufumbuzi wa haraka sana.

  Natanguliza shukrani.

  TELO
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pole sana TELO Mungu atatia ahueni matatizo yako yatakwisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu,

  Ahsante sana, bandiko lako limenifariji sana, kwani tatizo hilo hakika linahitaji mkono wa Mungu. Ahsante sana kwa kunifariji.
   
 4. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145

  kiwanja kinauzwa.
   
Loading...