Kiwanja kinauzwa bunju a

Kiwanja kinauzwa bunju a

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
364
Kina ukubwa wa eka 22. Kimepimwa na kina Hati miliki.Huduma muhimu za kijamii kama umeme na maji zinapatikana.Bei shs 250mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo piga simu 0717114409
 
Mbona tunachanganyana mkuu, ekari 22 sasa ni kiwanja au shamba? au kinauzika zaidi ukiita kiwanja?
 
Back
Top Bottom