M mumburya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 321 Reaction score 448 Oct 5, 2015 #1 Kipo sasi km 1.5 kutoka lami barabara ya Arusha - Moshi. Hatua 18 kwa 23. Umeme na maji ni ya kumwaga. Ni karibu na kilipo Chuo cha Ualimu cha Arusha TTC. Bei ni mil. 15 maongezi yapo. Twanga simu hii: 0753524213 Asante.
Kipo sasi km 1.5 kutoka lami barabara ya Arusha - Moshi. Hatua 18 kwa 23. Umeme na maji ni ya kumwaga. Ni karibu na kilipo Chuo cha Ualimu cha Arusha TTC. Bei ni mil. 15 maongezi yapo. Twanga simu hii: 0753524213 Asante.
Shapu Platinum Member Joined Jan 17, 2008 Posts 2,123 Reaction score 820 Oct 5, 2015 #2 Wewe wa wapi hatua 18 kwa 23 ndo zaidi ya robo heka??? kipimo cha wapi hicho?