Emmanuel2010
Member
- Oct 30, 2010
- 7
- 0
kipo Ubungo makoka maeneo yajulikanayo kwa jina la uluguruni. Ni sehemu iliyo inuka na ni eneo zuri kwa makazi. ni takribani kilomita 1.5 kutoka kwa mzee wa upako na na mita 500 kutoka shule ya msingi makaka.
Bei ni shilingi milioni 22 za kitanzania madalali hawatakiwi. Kama unahitaji ni inbox nikupe namba kwa mawasiliano zaidi
Bei ni shilingi milioni 22 za kitanzania madalali hawatakiwi. Kama unahitaji ni inbox nikupe namba kwa mawasiliano zaidi