Kiwanja kinatafutwa Dar es Salaam - bajeti 2M

Kiwanja kinatafutwa Dar es Salaam - bajeti 2M

magesa77

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Wadau wana JF natafuta kiwanja hapa Dar es Salaam, bajeti yangu ni Millioni 2, mwenye nacho tafadhali atiririke hapa akisema location, ukubwa wa kiwanja na miundombinu ktk maeneo husika. Asanteni!
 
Mkuu dar es salaam ya wapi yenye kiwanja cha 2m?! ...kila la heri mkuu ila tahadhari hiyo pesa wasijekuuzia kimeo
 
bangulo..
mvuti
pemba mnazi vipo kibao.
 
Hata 100M bado mtu anaweza kuuziwa kimeo, ni suala la mtu kujitambua tu kama kweli ameamua kuuza eneo lake kwa dhati. Na pia tunatambua kuwa maeneo yanatofautiana bei hapa Dar es Salaam, hivyo bado hiyo hela inaweza kupata kiwanja!
 
Mkuu pesa haikataliwi,kiwanja utapata ila wewe ndo utakikataa.
Sababu.....
Utauziwa ka-kiwanja,na sio kiwanja,
hicho kiwanja utakacho uziwa kitakua na Mfano wa kibanda cha kuuzia mkaa(eneo) otherwise upate Mkurangaa huko wazee hawajachangamka sana,watakuuzia.utapata.

Kila la kheri mKuu.
 
Wadau wana JF natafuta kiwanja hapa Dar es Salaam, bajeti yangu ni Millioni 2, mwenye nacho tafadhali atiririke hapa akisema location, ukubwa wa kiwanja na miundombinu ktk maeneo husika. Asanteni!

Kipo kigamboni mbutu; 26km kutoka ferry. 20x30msq. Call 0779420000. Bei 2.8M.
 
Wadau wana JF natafuta kiwanja hapa Dar es Salaam, bajeti yangu ni Millioni 2, mwenye nacho tafadhali atiririke hapa akisema location, ukubwa wa kiwanja na miundombinu ktk maeneo husika. Asanteni!

Kiongozi DSM kubwa hadi pemba mnazi nayo ni dsm.
 
Back
Top Bottom