Kiwanja kikubwa kiko kilometer 12 kutoka Mwanza airport na kipo ufukweni wa ziwa Victoria, kinauzwa kwa bei Milioni 450 maelewano yapo , kina ukubwa wa square meters 30,000 ( acre 8) unaweza kujenga Shule na Campus, Hotels & Resorts, Factories na kitu chochote utakachopenda, wasiliana na mwenye kiwanja 0783 531 532 au 0715 800 143 kina HATI..