Doltyne
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 440
- 170
Kiwanja kizuri kabisa kina 2219sq mtr, bei yangu ni 4000 kwa sqmt moja, so ni 8,876,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja kizima, pia nimepanda michongoma iliyokwisha chipua na nimerekebisha barabara iliyoachwa hoi na wananchi. Kiko blok 22,kiwanja ni tambarare, kwa sasa nimepanda matikiti maji ili pasikae bure. Serious buyer anipm au apige namba 0714881500.
Shukran.
Shukran.