Za asubuhi!
Nahitaji kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba, kiwe jirani na ufukwe, eneo tarajiwa ni popote kigamboni! Taja bei yako na nipe na contacts zako fasta!
Changamkia viwanja vinauzwa Kigamboni Amani Gomvu njiapanda ya Amani Beach.
Viwanja hivi vyote viko Amani Gomvu kwenye kona ya kwenda Amani Beach Kigamboni Kilomita 26 kutoka Kivukoni/Feri. Kila Plot ni Square mita 1100 na kila Square mita 1 ni Tsh 8000/=. Gharama hiyo inajumuisha gharama zote ambazo tayari ziko kwenye process mpaka kupata Title bid ya jina lako. Piga simu 0776 278401 sasa kwa maelezo ya kina.