baraka boki
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 181
- 80
Wadau naomba mtu mwenye kujua sehemu nzuri ambayo mtu unaweza kutoka out na ukafurahi na rafiki zako. Binafsi mimi napendelea kutembelea sehemu ambayo naweza kuogelea katika swimming pool alafu baadaye nikaenda kuogelea baharini mfano ni jangwani sea breeze napendelea kwenda pale. Kwa hiyo naomba mnijuze kiwanja kipya ambacho naweza kwenda pamoja na entry fee ya sehemu hiyo.