Kiwanja gani kina-hit Dar kwa sasa?

Kiwanja gani kina-hit Dar kwa sasa?

Voss

Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
17
Reaction score
32
Wakuu habari zenu
Nilikua naomba kufahamu ni kiwanja gani kinahit Dar kwa sasa. I have been going to Samaki samaki - Masaki most of the time. And i would like to switch. Any recommendations of a place which is class but with gooooood music?

Thank you.
 
Kwa mnaotumia kiingereza endeleeni huko samaki samaki, sisi wazaramo viwanja vyetu vinavyotesa ni pamoja na 40 40, na viwanja vyote vya tabata
 
only havoc and maison atkeast hamna mashoga wengi huko capetown na sehemu nyingine mashoga wanazunguka mpkaa wanabo
aaaa aaaaaagh
 
Back
Top Bottom