Fredericks
New Member
- Aug 2, 2010
- 1
- 1
Kiwanja chenye ukubwa wa Ekari 4 Kinauzwa. Kiwanza Kipo Mbutu-Kichangani (Kigamboni).Kiwanja Kipo karibu na Shule ya St Lucas ( Barabara ya kutoka Mbutu Kichangani Kuelekea Amani Gomvu/ Avic Town. Kiwanja Kinauzwa Kwa Tshs 100,000,000 ( Milioni Mia Moja). Mawasiliano 0757 786054