Plot4Sale Kiwanja chenye Pagale Mbezi Msakuzi

Plot4Sale Kiwanja chenye Pagale Mbezi Msakuzi

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
269
Reaction score
346
Kiwanja chenye Pagale la vyumba 2
Kimeshuka BEI kinauzwa MILIONI 16.5 TU!

Kipo Mbezi Msakuzi ni mwendo wa dk 3 kwa miguu kutoka kituo cha daladala zinazokwenda mbezi mwisho stand
Kutoka mbezi mpaka site unapanda daladala nauli 700 tu!

Ukubwa wa kiwanja ni 20x23(460 sqm)
Vyumba ni 2(Master 1+ single room1)
Kuna Jiko na baraza mbele na nyuma
Public toilet na Sebule kubwa sana
Shimo la choo lipo limejengewa bado kufunikwa tu
Mtaa mzuri uliojengwa kisasa
Hati ni ya mkataba wa mauziano (sales agreement document)

0675 065906
20260309_174428.jpg
20260309_174435.jpg
 
Udongo wa hilo eneo upoje...
Kichanga au mfinyanzi...
Maana nimeona jengo halina mkanda wa zege na nondo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom