Kiwanja chenye hati kinahitajika

Kiwanja chenye hati kinahitajika

Logik

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Habari zenu wadau,

Kuna rafiki yangu m1 anahitaji kununua kiwanja chenye hatii ukubwa angalau 25*35 maeneo ya Tegeta, goba,Bunju, mbweni, mbezi mwisho, kimara, kibamba na kibaha bajeti yake ni Mil 5. mwenye nacho anijulishe ili nimpe mawasiliano na huyo jamaa. Yeye yuko ni mjeda yuko mkoani.

Shukrani
 
Kiwanja chenye hati 5M Dar! ukifanikiwa namimi nijulishe kama vipo vya bei hiyo.
 
Habari zenu wadau,

Kuna rafiki yangu m1 anahitaji kununua kiwanja chenye hatii ukubwa angalau 25*35 maeneo ya Tegeta, goba,Bunju, mbweni, mbezi mwisho, kimara, kibamba na kibaha bajeti yake ni Mil 5. mwenye nacho anijulishe ili nimpe mawasiliano na huyo jamaa. Yeye yuko ni mjeda yuko mkoani.

Mkuu mimi ninacho Chanika ila hakina hati ukubwa ni 35 x 28 nitakupunguzia hadi Mil. 3.5 kwa ajili ya kufuatilia hati mwenyewe maana process tayari imeanza ila bado haijakamilika. Kama uko interested ni PM.
 
Mimi ninavyo viwili vyenye ukubwa wa 35x35 kila kimoja.
Vimepimwa, viko ktk mradi ambapo kuna viwanja zaidi ya 1000 vilivyopimwa - hati ziko ktk mchakato.
Nauza kimoja 10,000,000 Tshs - bei haipungui.
Kipo Kibaha-Visiga
Call 0784593005
 
Ukipata kilichopimwa achilia kuwa na hati kwa bei ya milioni 5 na mimi unifahamishe nije kukinunua kwa milioni 8 nikupe cha juu maana wewe si utakuwa umenunua kwa shilingi milioni 5 tu
 
Habari zenu wadau,

Kuna rafiki yangu m1 anahitaji kununua kiwanja chenye hatii ukubwa angalau 25*35 maeneo ya Tegeta, goba,Bunju, mbweni, mbezi mwisho, kimara, kibamba na kibaha bajeti yake ni Mil 5. mwenye nacho anijulishe ili nimpe mawasiliano na huyo jamaa. Yeye yuko ni mjeda yuko mkoani.

Mkuu mimi ninacho Chanika ila hakina hati ukubwa ni 35 x 28 nitakupunguzia hadi Mil. 3.5 kwa ajili ya kufuatilia hati mwenyewe maana process tayari imeanza ila bado haijakamilika. Kama uko interested ni PM.

Mkuu kimepimwa? Milioni 3 utachukua?
 
Kimepimwa? Milioni 3 kinaondoka?
 
Kimepimwa? Milioni 3 kinaondoka?

Hakijapimwa mkuu. Process ya kupima ndo ilikuwa imeanza unaweza kuiendeleza kama utachukua. Kiwanja ni kizuri kiko eneo zuri la makazi ya watu na umeme umefika, kiko karibu na barabara ya lami, eneo ni tambarare. Bei yake ilikuwa mil. 5 imepunguzwa hadi mil. 3.5 kufidia usumbufu wa kufuatilia kupima na hati mwenyewe. kama uko tayari tuwasiliane kwenye namba 0769 449485 au ni PM
 
Ndugu sahau kiwanja cha hati kwa milioni tano ni ndoto naona aliyekutuma katoka mkoa. Aseme anamilioni 100 tegeta,mbezi,goba,bunju atapata fasta kwingine huko milioni hamsini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom