Kiwanja cha ufukweni kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha ufukweni kinauzwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by deus1974, Oct 11, 2011.

 1. d

  deus1974 New Member

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiko Kigamboni Mwongozo kinaukubwa wa Heka 2.67 au Eka 6.60 au Mita za mraba 26700,kinafaa kwaa ajili ya kujenga Hotel kwa sababu kinaangalia bahari ya Hindi,Mwongozo ni wastani wa Kilometa 15 kutoka Kivukoni/Ferry.
  Kwa Mawasiliano:+255 717 740 341
  Bei:Tshs 800,000,000 lakini inapungua
   
 2. C

  Chinguile Member

  #2
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! inaweza kupungua kias gani mkubwa?
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Duh, kwa bei hiyo nitanunua mansion Miami.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Lets wait for the new master plan........... tusije tukaita eloiiiii
   
Loading...