Kiwanja cha Shule - Nursery Kinauzwa. Kipo Mwanagati

Nov 5, 2010
25
0
Kiwanja kwa ajili ya matumizi ya shule ya nursery kinauzwa, kina ukubwa wa 2400 square meters. Kiwanja kimepimwa na kina hati kwa matumizi ya shule ya nursery na kipo Mwanagati, Ilala eneo la mradi wa viwanja 20,000. Hiki kiwanja ni ideal kwa wanaohitaji kiwanja cha shule kwani hati yake tayari ni kwa matumizi ya shule, huhitaji kubadili au kutafuta kibali chochote.
Kama uko interested na kujenga shule ya nursery nipigie kupitia 0785664466
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom