Mkuu, ebu acha maskhara kwenye mambo ya msingi wallahi...Wakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale, lakini ni suala la kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuendelea kuwa nasi katika kazi za hapa na pale.
Naomba kusema yaliyonileta kwa jamvi siku ya leo. Kama heading inavyojieleza kwa uwazi wake, kiwanja kinatakiwa maeneo ya Kibaha, kuanzia Maili Moja mpaka Mlandizi.
Kama kuna mwenye nacho au ndugu yake maeneo ya Kinondoni, Tegeta, Bunju mpaka Bagamoyo nako nakupenda pia.
1. Kiwanja kiwe kimepimwa.
2. Kisiwe na mgogoro wa familia na jamii inayozunguka
3. Kiwe karibu na barabara kuu.
4. Kisiwe katikati ya nyumba kiasi cha kukosa kupata njia ya kupitisha gar nk.
5. Ukubwa kuanzia 20×20 na kuendelea, offer yangu mwisho millioni 5.
Natanguliza zangu shukrani. Mwenye nacho au ndugu anaweza kuni PM.
Bado kipo? Ukubwa,being?Ninacho Ruvu nichek kama upo serious
Mbona Masaki vipo viwanja hadi vya laki tano?😃😃5m tegeta au bunju??😁!
Nimeona lakini ni ghali
Interest yangu ni morogoro road
Mkuu, ebu acha maskhara kwenye mambo ya msingi wallahi...